KITONGA WiFi inakupa mfumo mmoja wa kusimamia Internet Billing, Vocha, Wateja, MikroTik Routers, Sites, Vifurushi, Malipo na biashara yako yote ya WiFi.
Routers Zilizounganishwa
Wateja Wanaohudumiwa
WiFi Sites
Monitoring & Support
Usitumie mifumo mingi inayochanganya. KITONGA WiFi inakupa kila kitu sehemu moja.
Simamia matumizi ya internet, billing na sessions za wateja kwa urahisi na uhakika.
Tengeneza, simamia na print vocha zako kwa batch au moja moja kwa haraka.
Unganisha na kusimamia MikroTik Routers zako moja kwa moja kupitia API salama.
Wape wateja portal nzuri ya kuingia, kununua vifurushi na kuangalia matumizi.
Simamia taarifa, vifurushi, matumizi na active sessions za wateja wako.
Tengeneza MB, GB, Unlimited na Time Based Packages kulingana na soko lako.
Simamia salio, malipo ya mtandao, miamala na gharama za mfumo kiurahisi.
Pata ripoti za mauzo, mapato, matumizi na performance ya biashara yako.
Anza kuendesha biashara yako kwa hatua nne tu rahisi.
Fungua akaunti ya KITONGA WiFi kwa sekunde chache tu.
Ongeza eneo lako la biashara na taarifa zake za msingi.
Pata provisioning command na uiweke kwenye MikroTik yako.
Tengeneza vifurushi, vocha na anza kuwahudumia wateja.
KITONGA WiFi imeundwa kufanya usimamizi wa MikroTik kuwa rahisi. Ongeza Router yako, pata secure provisioning command na iunganishe na mfumo wako bila usumbufu wowote wa kiufundi.
JIFUNZE ZAIDIKITONGA inakupa mfumo wa kusimamia Sites, Routers, Wateja, Vifurushi, Vocha, Mauzo na Salio kutoka sehemu moja.
Nunua Internet yako kutoka ISP unayemchagua na tumia KITONGA kusimamia biashara yako.
Pata Internet na mfumo kamili kutoka KITONGA na endesha biashara yako kwa urahisi.
Tengeneza vocha kwa batch, print au download PDF na uanze kuuza kwa wateja wako bila ukomo.
Karibu kwenye Mtandao
Interface rahisi kutumia hata kama si mtaalamu wa IT.
Data na akaunti zako zinalindwa kwa security ya kisasa.
Anza na Router moja na panua hadi Routers nyingi.
Anza kutumia KITONGA WiFi leo na simamia biashara yako kutoka sehemu moja kwa ufanisi wa hali ya juu.